Home » » UPDATE ZA AJALI YA BASI LA MAJINJA ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI ENEO LA CHANGALAWE MAFINGA IRINGA

UPDATE ZA AJALI YA BASI LA MAJINJA ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI ENEO LA CHANGALAWE MAFINGA IRINGA


Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa watu 40 wamepoteza maisha na 23 majeruhi

Taarifa hizo zinaeleza kuwa kwenye mizigo mingi ya abiria waliokuwa kwenye basi hilo kumepatikana madaftari mengi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam hivyo jeshi hilo linaendelea kufanya mawasoliano na wamiliki wa gari hilo ili kujua kama lilikuwa limekodishwa kubeba wanafunzi wa chuo hicho ama ni mchanganyiko wa kawaida wa abiria.

Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger