Carrick aliyetua United mwaka 2006 akitokea Spurs kwa ada ya pound million 18.6 amekua kiungo tegemeo katika kikosi hicho cha mashetani wekundu tangu enzi za babu Fergieson mpaka sasa.
Carrick ni miongoni mwa wachezaji watakao cheza kesho katika mechi ngumu dhidi ya wapinzani wao wa jadi Liverpool katika dimba la Anfried jiji Liverpool.
0 comments:
Post a Comment