Home » » ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

 
Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi katika timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger