Home »
» UPDATE KUTOKA MKWAKWANI,TANGA MGAMBO Vs YANGA
UPDATE KUTOKA MKWAKWANI,TANGA MGAMBO Vs YANGA
Yanga wanapata goli la kwanza katika Dk 77 lililofungwa na Saimon Msuva,Na katika Dk 82 Hamis Tambwe anaiandikia yanga goli la pili katika uwanja huu wa mkwakwani Tanga
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari
0 comments:
Post a Comment