Home »
» MATOKEO YA FA CUP - 4th ROUND
MATOKEO YA FA CUP - 4th ROUND
Manchester City wakiwa nyumbani wamefungwa goli 2-0 na Middlesbrought katika mchezo wa FA Cup Raundi ya 4 katika uwanja wa Ethiad.
Magoli ya Middlesbrought yamefungwa na Patrick Bamford Dk ya 52 na Kike Dk ya 90
Bamford (wa pili kulia)Akishangilia na wenzake baada ya kufunga goli katika uwanja wa Ethiad leo
Wachezaji wa Manchester City,James Milner Kushoto,Dedryck Boyata Katikati na Fernando wakiwa hawaamini kilichotoke
0 comments:
Post a Comment