Home » » HILI NDIO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA,WALIOTEULIWA NA KUAPISHWA LEO IKULU.

HILI NDIO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA,WALIOTEULIWA NA KUAPISHWA LEO IKULU.

 
JK 

Leo huenda ikawa moja ya siku ambazo zitaingia kwenye headlines kubwa za siasa TANZANIA 2014/2015 ambapo January 24 2015 mchana kulikuwa na taarifa za kujiuzulu kwa waziri Muhongo aliyekua kwenye Wizara ya nishati na madini. 
 1_01290.jpg

Kubwa nyingine kwenye upande huohuo ni ishu ya Rais Kikwete kutangaza mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri ambako kuna waliohamishwa na wapo waliokuwa Manaibu Mawaziri sasa ni Mawaziri, list yote ni hii hapa;
 
Mawaziri
George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini

Mary Nagu- Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu

Christopher Chiza- Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji

Harrison Mwakyembe- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

William Lukuvi- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi

Steven Wasira- Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Samuel Sitta- Waziri wa Uchukuzi

Jenista Muhagama- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge

Manaibu Waziri

Stephen Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano

Angela Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi

Ummy Mwalimu - Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Anne Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Charles Mwaijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini





Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger