Home »
» AZAM YAITUNGUA KAGERA NA KUSHIKILIA USHUKANI WA VPL
AZAM YAITUNGUA KAGERA NA KUSHIKILIA USHUKANI WA VPL
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Azam FC wamepata ushindi mnono wa magoli 3-1 Kagera sugar katika uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza.
Magoli ya mabingwa hao Wa VPL yamefungwa na Kipre Cheche 1 na Kavumbagu akitupia goli mbili huku wenyeji wao Kagera Sugar wakipata goli la kufutia macho goli,Kwa ushindi huo Azam anafikisha pointi 20 akiwa kilele tofauti ya pointi 3 dhidi ya Mtibwa Sugar na JKT Ruvu.
Azam FC wanatarajiwa kuanza safari ya kurudi Jiji Dar-es-salaam alfajiri ya kesho na kuingia kambini siku hiyo hiyo ya january 21,2015.
0 comments:
Post a Comment