Home »
» MANCHESTER UNITED YAICHAPA 3-0 LIVERPOOL
MANCHESTER UNITED YAICHAPA 3-0 LIVERPOOL
Magoli ya Wayne Rooney,Juan Mata na Van Parsie yameipa ushindi Manchester United wa magoli 3-0 dhidi ya mahasimu wao wakubwa Liverpool.
Kwa ushindi huo Manchester united wamefikisha pointi 31 wakiwa nyuma kwa pointi 8 dhidi ya vinara Chelsea ambao wana pointi 39, wakifuatiwa na Manchester City wenye pointi 36 wakiwa katika nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikishikwa na mashetani wekundu Man u
0 comments:
Post a Comment