MAGAZETI YOTE YA LEO NOV, 6 YAPO HAPA

 

 .

. 
 
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA,UFAULU WAONGEZEKA

DK. CHARLES E. MSONDE AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA   OFISINIKWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE NI MKUBWA UKILINGANISHA NA MWAKA JANA


Matokeo ya Darasa la 7 kwa mwaka 2014 yametangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania Necta ambapo katika matokeo hayo ya mwaka huu yanaonyesha Kiwango cha ufaulu kupanda kwa asilimia 56.99 Tofauti na ufaulu wa mwaka jana ambao ulikuwa Asilimia 51.6 Huku mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza.

 HAYA HAPA NDO MATOKEO YENYEWE:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS




 

TETESI ZA KISIWA CHA PEMBA KUWA SEHEMU YA KENYA,SERIKALI YA TANZANIA YATOA TAMKO...

 

home_3

Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa taarifa rasmi kuhusiana na mgogoro huo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, amewatoa hofu wananchi kuwa Pemba ni sehemu ya Tanzania na hakuna ukweli wowote kwamba kisiwa hicho ni sehemu ya Kenya.
 
Akijibu kuhusiana na suala hilo Bungeni Dodoma leo Membe amesema; “..Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haijapata taarifa zozote rasmi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Kenya kuhusu mgogoro wa mpaka kati ya Serikali hizi mbili… hususan madai ya kisiwa cha Pemba kilicho ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sehemu ya Jamhuri ya Kenya.. Kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kitaendelea kubakia hivyo daima…”—Membe
 
“..Mara tulipopata  taarifa hizi.. wizara yangu iliwasiliana na ubalozi wetu Kenya, lakini pia tuliwasiliana na Serikali ya Kenya yenyewe.. kucheki kama taarifa hizi zilizoandikwa kwenye magazeti zina mshiko wa Serikali.. balozi wetu na serikali yenyewe ya Kenya hawajui suala hili limetokea wapi…”

Kuhusiana na taarifa za kuwepo meli za kutoka Kenya zinavyofanya shughuli za uvuvi katika eneo la Tanzania, Membe amesema; “..nitawasiliana na wenzangu wanaohusika.. kuanzia wizara inayohusika.. na JWTZ ambao ndio wana dhamana ya kulinda bahari yetu ya Indian Ocean waone namna ya kudhibiti.. na namna ya kuwahakikishia wenzetu wa Kenya kwamba hata baharini kuna mipaka yake..”– Membe


MAGAZETI YOTE YA LEO NOVEMBER 5,2014 HAYA HAPA

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC05272
.
.
.
.
.
.
DSC05276
.
.
.
.
.
.
.
.
.

RUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA




    Ponda akiingizwa kwenye basi la wafungwa kwa ajili ya kwenda Segerea.



    Magari ya Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) yakiwa yametanda eneo la mahakama
    .


    Askari wakiongoza msafara.



    Wafuasi wa Ponda wakiimba nyimbo mbalimbali nje ya mahakama.



    Dola ikifanya mawasiliano kuimarisha ulinzi.  



    Ukaguzi mkali kwa kutumia kifaa maalumu ukifanyika katika mlango wa kuingilia Mahakama Kuu.
    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda iliyopelekwa na wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.
    Kesi nyingine ya uchochezi inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambayo inasikilizwa na Jaji Augustine Shangwa imeahirishwa hadi Novemba 20, mwaka huu.

     
    Supported by AMAGA Media services : | |
    Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
    Templete Designed by Abdallah Magana
    Proudly powered by Blogger