Baada ya Rais mteule wa Tanzania, Dr. John Magufuli na Makamu wake Mama Samia Suluhu Hassan kukabidhiwa cheti na Tume ya Uchaguzi NEC, safari ilianza toka Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga mpaka Ofisi za CCM mtaa wa Lumumba Dar ambapo wanaCCM na viongozi wengine walikusanyika.
Video yake kwenye kile alichokisema kwenye Jukwaa la CCM mtaa wa Lumumba hiki hapa…
Home »
» Kauli ya kwanza ya Dr. Magufuli baada ya ushindi wa urais na shangwe za ...
0 comments:
Post a Comment