Nyota
wa Arsenal, Alexis Sanchez akifanya mazoezi kwa bidii baada ya kujiunga
na timu yake hiyo leo kufuatia mapumziko marefu zaidi aliyopewa tofauti
na wenzake baada ya kuwa amekwenda kuiongoza timu yake ya taifa, Chile
kwenye michuano ya Kombe la Mabara Juni mwaka huu, ambako ilishika
nafasi ya pili baada ya kufungwa 1-0 na Ujerumani katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 28 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.


































































