Kiungo
mpya wa Manchester United, Nemanja Matic (kushoto) ambaye leo
anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akizungumza na mchezaji mwenzake wa
zamani wa Chelsea, Juan Mata kwenye mazoezi ya Mashetani hao Wekundu leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 28 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.