Home »
» MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA MICHEZO YA LEO
MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA MICHEZO YA LEO
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo mitatu katika miji mitatu tofauti.Jiji Dar es salaam kulikua na mchezo mmoja katika uwanja wa Chamazi Wenyeji Azam Fc wameshinda 5-0 dhidi ya Toto Africans,Jiji Tanga African wana kimanu manu wamekubali kulala goli 0-2 nyumbani dhidi ya vibonde JKT Ruvu walioshinda mchezo wao wa kwanza leo.Nako jiji Mbeya Wajerajera wamevutana sharti kwa kufungana magoli 2-2 dhidi ya Ndanda Fc.
0 comments:
Post a Comment