BAADA
LIGI KUBWA kwenda Vakesheni hadi Wikiendi ya Novemba 21, Wiki hii na
mwanzo wa Wiki ijayo zipo Mechi kubwa nyingi za Kimataifa zikiwemo za
kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia Mwaka 2018, kufuzu Fainali za
EURO 2016 na nyingine ni za Kirafiki kwa Nchi zile ambazo hazipo kwenye
michuano rasmi.
Mabara
ya Marekani ya Kusini na Afrika yatakuwa kwenye Mechi za kusaka kucheza
Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia wakati Barani Ulaya
wana Mechi za Mchujo za kupata Timu 4 za mwisho kucheza Fainali za
Mataifa ya Ulaya, EURO 2016, zitakazochezwa Mwakani huko France.
Katika
baadhi ya Mechi za Kimataifa za Kirafiki ziko Bigi Mechi kadhaa kama
vile Spain v England, France v Germany, Belgium v Italy, England v
France, Belgium v Spain na Germany v Netherlands ambazo zitapigwa Ijumaa
na Jumanne.
KIMATAIFA KIRAFIKI
Ratiba
*Saa za Bongo
Jumatano Novemba 11
15:00 Jordan v Malta
20:00 Estonia v Georgia
Alhamisi Novemba 12
17:00 Oman v New Zealand
19:00 Macedonia v Montenegro
20:00 Andorra v Saint Kitts And Nevis
Ijumaa Novemba 13
3:00 Solomon Islands v Fiji
20:30 Qatar v Turkey
21:00 Luxembourg v Greece
21:45 Poland v Iceland
21:45 Northern Ireland v Latvia
21:45 Belgium v Italy
21:45 Portugal v Russia
22:30 Czech Republic v Serbia
22:45 Spain v England
22:45 Slovakia v Switzerland
22:45 Wales v Netherlands
23:00 France v Germany
Jumamosi Novemba 14
10:00 Hong Kong v Macau
Jumanne Novemba 17
Tuesday 17 Nov 2015
3:00 Italy v Poland
3:00 Lebanon v New Zealand
14:00 Macedonia v Lebanon
18:00 Russia v Croatia
19:00 Estonia v Saint Kitts And Nevis
19:00 Azerbaijan v Moldova
20:15 Turkey v Greece
21:30 Luxembourg v Portugal
21:45 Austria v Switzerland
21:45 Poland v Czech Republic
21:45 Slovakia v Iceland
21:45 Belgium v Spain
22:00 England v France
22:45 Germany v Netherlands
22:45 Italy v Romania
Home »
» BIG MECHI ZA KIRAFIKI IJUMAA HII SPAIN-ENGLAND, FRANCE-GERMANY.........
0 comments:
Post a Comment