Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11, 2015


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC02230
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC02238
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

BIG MECHI ZA KIRAFIKI IJUMAA HII SPAIN-ENGLAND, FRANCE-GERMANY.........

SPAIN-ENGLAND                                                                                                                                            BAADA LIGI KUBWA kwenda Vakesheni hadi Wikiendi ya Novemba 21, Wiki hii na mwanzo wa Wiki ijayo zipo Mechi kubwa nyingi za Kimataifa zikiwemo za kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia Mwaka 2018, kufuzu Fainali za EURO 2016 na nyingine ni za Kirafiki kwa Nchi zile ambazo hazipo kwenye michuano rasmi.
Mabara ya Marekani ya Kusini na Afrika yatakuwa kwenye Mechi za kusaka kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia wakati Barani Ulaya wana Mechi za Mchujo za kupata Timu 4 za mwisho kucheza Fainali za Mataifa ya Ulaya, EURO 2016, zitakazochezwa Mwakani huko France.
Katika baadhi ya Mechi za Kimataifa za Kirafiki ziko Bigi Mechi kadhaa kama vile Spain v England, France v Germany, Belgium v Italy, England v France, Belgium v Spain na Germany v Netherlands ambazo zitapigwa Ijumaa na Jumanne.
KIMATAIFA KIRAFIKI
Ratiba
*Saa za Bongo
Jumatano Novemba 11
15:00 Jordan v Malta                 
20:00 Estonia v Georgia             
Alhamisi Novemba 12         
17:00 Oman v New Zealand                 
19:00 Macedonia v Montenegro            
20:00 Andorra v Saint Kitts And Nevis            
Ijumaa Novemba 13        
3:00   Solomon Islands v Fiji                
20:30 Qatar v Turkey                 
21:00 Luxembourg v Greece                 
21:45 Poland v Iceland              
21:45 Northern Ireland v Latvia            
21:45 Belgium v Italy                 
21:45 Portugal v Russia              
22:30 Czech Republic v Serbia              
22:45 Spain v England               
22:45 Slovakia v Switzerland                
22:45 Wales v Netherlands                  
23:00 France v Germany            
Jumamosi Novemba 14         
10:00 Hong Kong v Macau
Jumanne Novemba 17
Tuesday 17 Nov 2015         
3:00   Italy v Poland                   
3:00   Lebanon v New Zealand              
14:00 Macedonia v Lebanon                 
18:00 Russia v Croatia               
19:00 Estonia v Saint Kitts And Nevis             
19:00 Azerbaijan v Moldova                 
20:15 Turkey v Greece               
21:30 Luxembourg v Portugal               
21:45 Austria v Switzerland                  
21:45 Poland v Czech Republic             
21:45 Slovakia v Iceland            
21:45 Belgium v Spain               
22:00 England v France              
22:45 Germany v Netherlands              
22:45 Italy v Romania      

MOYES AFUKUZWA KAZI REAL SOCIEDAD SIKU 1 TU KABLA KUTIMIZA MWAKA!

 MOYES-SOCIEDAD
                                                                                                                              David Moyes ametimuliwa kazi kama Meneja wa Klabu ya La Liga inayosuasua ya Real Sociedad ikiwa ni Siku 1 tu kabla hajatimiza Mwaka mmoja Klabuni hapo.

Moyes, mwenye Miaka 52, alitwaa wadhifa wa Umeneja wa Klabu hiyo ya Spain hapo Tarehe 10 Novemba 2014 na kuiokoa Klabu hiyo kuporomoka wakati ikiwa katika hali mbaya na kukamata Nafasi ya 12 kwenye La Liga Msimu uliopita.

Lakini Msimu huu mambo ni yale yale kwa Real Sociedad baada ya Ijumaa kuchapwa 2-0 na Las Palmas ikiwa ni kipigo cha 4 katika Mechi zao 5 zilizokwisha za La Liga.

Real Sociedad imetangaza Moyes na Msaidizi wake, Billy McKinlay, wote wamefukuzwa.

Kuhamia kwa Moyes huko Sociedad Mwaka Jana ilikuwa ni kibarua chake cha kwanza tangu atimuliwe Man United Mwezi Aprili 2014 baada ya kudumu Miezi 10 tu hapo Old Trafford.

Moyes, ambae kabla ya kutua Man United alikuwa Meneja wa Everton kwa Miaka 11, alikuwa ni Meneja wa 4 kutoka Uingereza katika Historia ya Real Sociedad.

Wengine waliomtangulia Klabuni hapo ni Harry Lowe alieingia Mwaka 1930 na kukaa Miaka 5, John Toshack alieiongoza Klabu hiyo kwa vipindi vitatu tofauti na cha mwisho kilikuwa Mwaka 2002 wakati Chris Coleman alikaa kwa Miezi 7 baada ya kuteuliwa Julai 2007.

Real Sociedad, ambao wako Nafasi ya 17 katika La Liga, watapambana na Sevilla, Mabingwa wa UEFA EUROPA LIGI, na kisha Barcelona, Mabingwa Watetezi wa La Liga na pia UEFA CHAMPIONZ LIGI, katika Mechi zao 2 za La Liga zifuatazo mara baada ya La Liga kurejea tena Wikiendi ya Novemba 21 baada kupisha Mechi za Kimataifa.

Kilichomkasirisha Rais Magufuli NOVEMBER 9 2015

                                             

Taarifa ya chote kilichotokea mchana wa November 9 2015 na
kumkasirisha Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Magufuli
kinaelezwa hapa chini na katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue,
bonyeza play kwenye hii video


               

MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA MICHEZO YA LEO





Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo mitatu katika miji mitatu tofauti.Jiji Dar es salaam kulikua na mchezo mmoja katika uwanja wa Chamazi Wenyeji Azam Fc wameshinda 5-0 dhidi ya Toto Africans,Jiji Tanga African wana kimanu manu wamekubali kulala goli 0-2 nyumbani dhidi ya vibonde JKT Ruvu walioshinda mchezo wao wa kwanza leo.Nako jiji Mbeya Wajerajera wamevutana sharti kwa kufungana magoli 2-2 dhidi ya Ndanda Fc.
 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger